TENGENEZA BLOG YA KISASA NA YENYE MVUTO KWA BEI POA
Posted by Unknown
HIZI NI BAADHI YA TEMPLATES AMBAZO TUNWEZA KUZITUMIA KUTENGENEZA BLOG ...
VISHA TEMPLATE MPYA KATIKA BLOG AU WEBSITE YAKO KWA BEI POA
Posted by Unknown
Je umechoka kutumia Template MOJA kwa miaka yotee??? USIBABAIKE JAWABU LAKO NI SISI......................... WASIALIANA NASI ILI TUIVISHE BLOG YAKO TEMPLATE MPYA KWA SH 20000/= TU ...
USIKOSE KUTEMBELEA BUSTANI YA HABARI
Posted by Unknown
Bustani ya Habari ni Kiini cha habari mbali mbali na pia ni blog amabayo inatembelewa na watu wengi nchini Tanzania na nje ya nchi.Blog hii hutoa taarifa mchanganyiko yaani habari za michezo,biashara,burudani na habari za kitaifa na kimaifa hupatikana kwenye blog hii BUSTANI YA HABARI. BUSTANI YA HABARI ni kipenzi cha wasomaji mbali mbali wa habari mseto USIKOSE KUTEMBELEA BLOG HII . ...
HIVI NDIVYO POST ITAKAVYOKUWA INAONEKANA KWENHYE BLOG
Posted by Unknown
POST HII TUNAYOIWEKA HAPA NI KAMA SAMPLE YA JINSI WEWE MTEJA WETU WA BLOG HII UTAVYOWEZA KUITUMIA KWA KUWEKA POSTS ZAKO MBALI MBALI. KUMBUKA WEWE UKO HURU KUANDIKA KWA HERUFI KUBWA NA HATA HERUFI NDOGO. Pia unaweza kutuma picha ilivyo picha hii hapa chini ambayo tume-upload kutoka kwenye computer yetu Usisite kutuuliza chochote ale pale unapoona umekwama kwa kutupigia kwenye namaba +255714557223 ili tuweze kuwasiliana nawe na kukupatia maelekezo ya tatizo lako.Kwa mteja atakaenunu BLOG hii maelezo atapatiwa bure pasina malipo yoyote isipokuwa kama atahitaji mabo mengine ya blog design basi tutamfanyia kwa sh 10000/= tu, kwa sababu yeye ni mteja wetu ila kwa watu wengine BLOG DESIGNING gharama yake ni sh 15000/= tu, KUHUSU EMAIL YA BLOG...